Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YATANGAZA MATOKEO YA KURA ZA URAIS MAJIMBO MANNE


Hadi sasa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imeshatangaza matokeo ya kura za urais kwa majimbo manne kati ya 54. 

Majimbo hayo ni Kwahani, Fuoni, Kiembesamaki na Malindi. Dk. Shein wa CCM anaongoza kwenye majimbo matatu ya Kwahani, Fuoni na Kiembesamaki huku Maalim Seif wa CUF akiongoza kwenye jimbo la Malindi.
 
1. UCHAGUZI ZANZIBAR: URAIS JIMBO LA MALINDI
ACT - 4
TADEA - 3
ADC - 10
FP - 6
CCK - 3
CCM - 2,334
CHAUMA - 7
CUF - 5,667
MAKINI - 3
JAHAZI -2
NRA - 0
TLP - 1
SAU - 2
DP - 1
 
2. UCHAGUZI ZANZIBAR: URAIS JIMBO LA FUONI CCM - 889
CUF - 429
ADC- 3
TLP - 4
SAU- 3
DP- 2
NRA - 1
MAKINI - 1
CHAUMMA - 1
ACT - 0
TADEA- 0

 
3. UCHAGUZI ZANZIBAR: URAIS JIMBO LA KIEMBE SAMAKI CCM - 4413
CUF - 2986
CHAUMA- 13
ACT -5
ADC- 4
FP- 4
MAKINI-2
DP- 2
JAHAZI -2
SAU-1
NRA -2
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top