Hali imekuwa shwari katika Jiji la Dar es Salaam hasa wakati wa
upigaji kura kuwachagua madiwani, wabunge na Rais wa Awamu ya Tano.
Jiji hilo lenye pilikapilika nyingi za maisha mfukuto mkubwa wa kisiasa
lakini hali haikuwa hivyo bali ilitawaliwa na amani kila mahala. Pichani
ni baadhi ya barabara zikiwa hazina misururu ya magari na vyombo
vingine vya moto kama ilivyozoeleka.PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Hali ilivyokuwamchana wa leo katika barabara za Morocco na Morogoro eneo la Magomeni Dar es Salaam.
Kwenda Kinondoni kutoka Magomeni Mataa
Kwenda Ilala, eneo la Mataa Magomeni
Eneo la Banana Jimbo la Ukonga Dar
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment