Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

EFM 93.7 NA TABATA VETERANI WASHINDWA KUTAMBIANA

Dakika 90 za mtanange wa mpira wa miguu kati ya kikosi kamili cha Timu ya EFM 93.7 dhidi ya Tabata Veterani zilimalizika kwa sare ya bila kufungana, katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa shule ya msingi Tabata jijini Dar es salaam. Burudani hii ya mpira ilishuhudiwa na mamia ya wakazi wa Tabata waliovutiwa kuona wafanyakazi wa Efm wakiwemo Rdj’s na watangazaji wakisakata kabumbu.
Kikosi cha kazi cha EFM 93.7 chini ya kiongozi na nahodha wake Ssebo (wa pili kushoto waliosimama) kikiwa kwenye picha ya pamoja.
Kikosi cha Tabata Veterani
Mpira ukiendelea katika uwanja wa shule ya Msingi Tabata.
E-fm wakiliandama lango la Tabata Veterani
Mashabiki wa soka wakifuatilia mchezo huo
Mwalimu wa kikosi cha E-fm Ibrahim Masoud Maestro akitoa maelekezo wakati wa mapumziko
Mashabiki wakifuatilia soka kwa umakini mkubwa


author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top