Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

SHAMSA:TUMALIZENI BIFU, UCHAGUZI UMEISHA

Gladness Mallya

STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amewataka wasanii wenzake waliotofautiana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu kumaliza bifu kwani zoezi hilo limemalizika na maisha lazima yaendelee.

Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford.

kipiga stori na gazeti hili, Shamsa alisema anamshukuru Mungu yeye hakuwa na bifu na mtu kwa sababu alijua kabisa kuna maisha baada ya uchaguzi ila wenzake waliingia katika migogoro ya kisiasa kwa tofauti za kiitikadi.


“Jamani wasanii wenzangu mliotofautiana na kuwekeana bifu kipindi cha uchaguzi, nawasihi mmalize ili tufanye kazi kwa bidii kwani wakati wote wa kampeni tasnia ya filamu ilikuwa imelala,mimi nimeshaanza kwa kasi ya ajabu na hivi karibuni filamu yangu mpya itakuwa mtaani,” alisema 
 
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top