Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BREAKING NYUZZ.....SPIKA WA BUNGE LA 11 NI JOB NDUGAI

  • Ashinda kura kwa asilimia 70

Ndugu Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushinda kura 254, Katika uchaguzi ambao wapiga kura walikuwa 365 zilizoharibika kura 2. .


Akifuatiwa na mgombea wa CHADEMA Goodlucky Ole Medeye kura 109 .
 
Kura zilizopigwa-365


Kura zilizoharibika-2
Malisa-0
Medeye-109
Rungwe-0
Almasi-0
Ndugai-254
Sarungi-0
Lymo-0
Kasimiu-0


Hata hivyo wagombea hao ambao walikuwa 7 kati ya 8 wameweza kutoa shukrani na pongezi kwa Ndugai wakisema anastahili na ndio maana akachaguliwa na kumtaka aongoze vyema bunge hilo.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top