Aliyekuwa Mtangaza Nia ya Uspika wa Bunge la Jamhuri, Dk. Tulia
amechukua rasmi fomu ya kuomba kugombea Unaibu Spika. Mapema leo Dr.
Tulia na mwenzake walijitoa kwenye kinyang'anyiro hicho na kumuacha Job
Ndugai peke yake hivyo kupitishwa kugombea Uspika wa Jamhuri ya muungano
wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi(CCM).
Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya John Magufuli kumteua kuwa mbunge, moja ya sifa ambazo zinatakiwa ili mtu awe naibu Spika.
Post a Comment