Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MUENDELEZO WA HABARI:BASI LA SIMBA MTOTO LAGONGANA NA LORI

HABARI ZA HIVI PUNDE 
Mhariri wa Mlimani TV, Hamis Dambaya amepoteza mke na mtoto katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la Simba Mtoto na lori. Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania-TEF, NEVILLE MEENA, imeeleza kuwa katika ajali hiyo iliyotokea leo asubuhi, pia Mama Mkwe wa Damumbaya amefariki dunia.


 AJALI TANGA: Watu 11 Wafa, 18 wajeruhiwa baada ya basi la Simba Mtoto toka Tanga kwenda Dar kugongana na lori huko Muheza, Kamanda Mihayo Msikhela athibitisha.‪#‎Habari‬ za hivi punde:Ajali mbaya imetokea kati ya Muheza na Hale Tanga asubuhi hii na inasadikiwa imeuwa na kujeruhi.

Ajali hiyo imehusisha Basi la Simba Video na Lori na inaelezwa kwamba madereva wote pamoja na utingo wa magari yote mawili wamepoteza maisha.


 ‪#‎Updates‬ Ajali:Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga amedhibitisha kutokea kwa ajali ya basi la Simba Mtoto na Watu kadhaa wamejuruhiwa katika ajili hiyo na wengine kadhaa waahofiwa kupoteza maisha.


 TAARIFA ZAIDI TUTAWALETEA:


CHANZO:Habari Star TV Tanzania

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top