Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

PROFESSOR JAY WA MIKUMI ATOA MSAADA KWA WALIOPATA JANGA LA MAFURIKO KATA YA TINDIGA


Ndugu zetu wa kata ya Tindiga wamepata maafa ya mafuriko makubwa sana na mpaka sasa nyumba 600 zimeanguka, kaya zaidi ya 1300 zimeathirika sana na watu 5060 wanahitaji hifadhi,
Mimi kama mbunge nimepeleka tani moja ya unga, maji lita 13,000, Maharage, Mafuta ya kupikia, chumvi na dawa za mbu nk
Bado ndugu zetu wanahitaji sana msaada zaidi ili waweze Kukabiliana na hali ngumu wanayokutana nayo...
Mahitaji ni Maji, Chakula, Mahema, chandarua na dawa za mbu nk
MUNGU AWABARIKI SANA!!!!
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top