Mwanamzuki
CHi akitumbuiza katika katika kongamano la shamrashamra za kuelekea
siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini katika hotel
ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita
.Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Tanzania women of
Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment