Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

KING KIBA ALA SHAVU SONY MUSICAlly Kiba ka sign na Sony Music,Staa huyo leo amesaini mkataba na record label hiyo kubwa duniani jijini Johannesburg, Afrika Kusini. “Ni step moja wapo watu wangependa kuniona na leo ndio imefikia,” alisema Kiba mbele ya waandishi wa habari waliokuwa wamehudhuria kwenye utiaji saini katika deal hilo.”


“Niliwaambia nitafika sehemu mtaridhika na ninachokifanya. Naona hii support imetoka kwa mashabiki, nawapenda, mtanisamehe kama ntakuwa nimewakosea, kiukweli sote ni binadamu,” aliongeza.


“Ilikuwa kati ya ndoto zangu, nitafanya party kwaajili yao, kuwaona, kufurahia pamoja nao wanaopenda maendeleo yangu. Naombeni niwashukuru sana, nina imani kwamba ni malengo mazuri ninayoyalenga, na in the future ntaendelea kufanya kitu kama nilichofanya leo, nina imani mna furaha kama niliyonayo leo,” alisisitiza.


Kwenye hafla hiyo video nne za nyimbo zake zilichezwa zikiwemo Mwana, Chekecha Cheketua, Nagharamia, Lupela na Aje.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top