Mashabiki wa Soka wakiwa tayari wameshafika ndani ya Uwanja wa Taifa na wengine wakiwa kwenye misururu mirefu wakiingia ndani kusubiri mtanange wa YANGA na TP MAZEMBE ukiwa ni mchezo wa kundi A Michuano ya Shirikisho Barani Afrika.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment