Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

NEC yamkabidhi Rais Magufuli bilioni 12 zilizookolewa uchaguzi mkuu 2015

[​IMG]
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw.Kailima Ramadhani Kobwey wakikabidhi mfano wa hundi ya shilingi Bilioni 12 kwa Rais John Magufuli.

Fedha hizo zimeokolewa katika fedha zilizopangwa kutumika na Tume ya Uchaguzi katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015. 


Hata hivyo watu wamekosoa hatua hiyo wakisema  Miradi mingi kama ulivyo mchakato wa uchaguzi mara nyingi fedha ikirudishwa panakuwepo na mashaka kuwa huenda mchakato mzima haukukamilika kwa ufanisi kama ilivyotarajiwa na aliyetoa fedha.

Najiuliza tu mara mbilimbili yapo maeneo mbalimbali ikiwemo katikati ya jiji la Dar, either vifaa vilichelewa au havikufika kabisa ikiwemo na maeneo mengine ya nchi.

Natoa wito kwa vyama vya siasa kuendelea kudai tume huru ya uchaguzi kama kweli ipo nia ya kuimarisha demokrasia hapa Tanzania.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top