Hii ni kama strategy ya ukawa kujenga mgombea wake kwa mwaka 2020, baada
 ya kuone appointment ya Katibu mkuu kukosa mwito ndani na nje ya 
muunganiko huo.
Kauli na matendo ya Lisu yanaonyesha muelekeo wa kujijenga kisiasa kwa lengo la kugombea nafasi hiyo.
Ikumbukwe kwamba bado kuna pingamizi za ndani kwa ndani ukawa kama 
Lowasa atasimama kwa tiketi hiyo ifikapo uchaguzi mkuu, hii ni kutokana 
na yeye kuzidi kupungua ushawisi ukilinganisha na kipindi cha uchaguzi 
wa 2020.
Saikolojia ya mwanadamu unaonyesha kwamba mtu anayekipinga kitu flani 
sana either anakipenda sana au anahisi kama aliyenacho hastahili kuwa 
nacho isipokua yeye.
Saikolojia hii ndogo inapelekea wengi wetu kuanza kunyanyua kope za 
macho na kujiuliza nia halisi ya Lisu baada ya kuona na kusikia haya 
aliyoyafanya hivi karibuni.
Je huu ndio mwanzo wa safari ya kugombea nafasi hiyo 2020, na mwendelezo wa matukio toka kwa mwanasiasa huyo?
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
Post a Comment