Kipa
wa Azam FC kutoka Hispania, Juan Jesus Gonzalez akiurikia mpira kwenye
mazoezi ya timu hiyo Jumanne Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es
Salaam
Wachezaji wa Azam FC wakijifua vikali kujiandaa na msimu mpya
Kiungo Frank Domayo akitafuta mipango ya kumtoka mshambuliaji John Bocco
Kiungo Khamis Mcha 'Vialli' akijipinda kupiga shuti kwa mguu wa kushoto
Beki Erasto Nyoni akimiliki mpira mnele ya wachezaji wenzake
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment