Bashe na mtazamo wake juu ya #UKUTA
Wanachokifanya hawa UKUTA ni kuitia Serikali hasara. Zaidi ya hilo
Chadema wamekuwa PRO ACTIVE na kuwalazimisha "JAMHURI" kuwa REACTIVE.
Sasa Jamhuri inacheza ngoma ya Chadema badala ya Chadema kucheza ngoma
ya Jamhuri. -
#UKUTA
Post a Comment