Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Bukoba mjini mara
baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Muleba mkoani Kagera
mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani humo.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Muganza Wilayani
Chato mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera.
PICHA NA IKULU
Post a Comment