Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Taswira:Madarasa, Shule ya Msingi Rundugai

Baadhi ya Madarasa ya shule ya Rundugai yakiwa yamepandwa miti mbele yake katika utunzaji wa mazingira.


Madara na Ofisi ya Mkuu wa Shule ya Msingi Rundugai yakiwa yamepambwa kwa ramani ya nchi yetu Tanzania pamoja ni ile ya Bara la Afrika bila kusahau ramani ya Dunia.
Pia katika kujali afya za wanafunzi Shule hiyo ina viwanja kwa ajili ya michezo mbalimbali hapo juu ni bembea kwa ajili ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Rundugai.
Picha,Habari na Mdau wa Rundugai Blog.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

1 comments:

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top