Baadhi ya Madarasa ya shule ya Rundugai yakiwa yamepandwa miti mbele yake katika utunzaji wa mazingira.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
KATIKA PICHA NA MAKALA:Changamoto za maisha na ufumbuzi wake
Madara na Ofisi ya Mkuu wa Shule ya Msingi Rundugai yakiwa yamepambwa kwa ramani ya nchi yetu Tanzania pamoja ni ile ya Bara la Afrika bila kusahau ramani ya Dunia.
Pia katika kujali afya za wanafunzi Shule hiyo ina viwanja kwa ajili ya michezo mbalimbali hapo juu ni bembea kwa ajili ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Rundugai.
Your description comes here!
1 comments:
shule yetu ni nzuri
ReplyPost a Comment