
Kifua wazi hana tatizo yeye cha msingi ni kulivaa hayo mengine atajua mbele ya safari pale askari wa usalama barabarani atakapotokea.

Anatafakari kwa makini hesabu bado haijafika mahala pake muda nao unakimbia itakuwaje sasa kwa tajiri hayo tuliyanasa wakati akiongea na kondakta wake kama kawaida yao hawavai vizuri sare yake ni mpya ila hafungi vifungo na kakunja mikono kama gangwe unawakumbuka magangwe?

Hapa naona unakumbuka ule wimbo wa Wanaume wa Kichwa kinauma baada ya kuvurugwa kama wasemavyo vijana siku hizi.

dereva wetu wa leo anaefanya safari zake kati ya Buguruni -Mbagala hapo anaulsikiliza kwa umakini mkubwa wimbo maarufu ulioimbwa na Chege unaitwa ''Kichwa Kinauma'' na yeye kweli alionekana kweli kichwa kinamuuma .
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Tuesday, June 26, 2012
Post a Comment