Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Dar Young Africans yawasilisha TFF majina ya wachezaji itakayo waacha


Mabingwa wa Zamani Ligu kuu Ya Vodacom Dar Young Africans Imewatupia virago wachezaji wake wapatao 13 katika maandalizi ya Msimu Ujao wa Ligi.Majina hayo yamewasilishwa kwa Shirikisho la kandanda nchini TFF.

Hiyo inaashiria shamrashamra za usajili zimeshika kasi kwa sasa.Majina hayo yaliyowasilishwa ni kama ifuatavyo:

Waliomaliza Mkataba ni:
  1. Abuu Ubwa
  2. Bakari Mbega
  3. Godfrey Bonny
  4. Kiggi Makasi
  5. Atif Amour
  6. Chacha Marwa
Wachezaji ambao klabu ya Yanga imeamua kuvunja nao mikataba ni:
  1. Davies Mwape
  2. Kenneth Asamoah
  3. Julius Mrope
  4. Iddi Mbaga
  5. Zuberi Ubwa
  6. Pius Kisambale

Huku ikimtoa kwa Mkopo kwa Timu ya Mtibwa Sugar:

  1. Shaban Hassan Kado.
Hivyo Klabu ya Yanga haitakuwa na Wachezaji hao Msimu ujao wa Ligi .

Hao ndio wana wa Jangwani Dar Young Africans


author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top