Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Italia yaingia Nusu Fainali ya EURO 2012




Timu ya Italia imefuzu kuingia nusu fainali ya Mashindano ya mataifa ya Ulaya EURO 2012 baada ya kuiondoa Uingereza kwa changamoto ya mikwaju ya Penati katika pambano lililofanyika katika Jiji La Kiev Jana Usiku.
Katika mpambano ulioishia kwa Uingereza kufungwa kwa mikwaju ya penati 4-1 kufuatia muda wa kawaida na dakika 30 zaidi kumalizika kwa timu hizo mbili kutofungana.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top