Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mh.Simbachawene ashangiliwa Bungeni Leo

Naibu Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene leo hii ameibuka Bungeni wakati akijibu swali la Mbunge na kushangiliwa hali iliyomlazimu Spika kuwaomba wabunge wampe muda ajibu swali aliloulizwa.Akijibu alianza kusema''Mh.Spika makofi na kushangiliwa huko ni kudhihirisha kwamba maneno yalikuwa yamezushwa mimi sihusiki kwani mimi ni mzima na sijakatwa mikono kama mnavyoniona'' alisema Mh.Simbachawene.

Toka juzi kulizuka maneno kuwa akiwa huko Singidwa amefumaniwa na mke wa mtu katika nyumba ya kulala wageni wakati akiwa njiani kwenda Karatu kwenye msiba wa shemeji yake.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top