Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mkutano wa Mchungaji Obadia wadhihirisha kwenye wengi kuna mengi .

Muimbaji huyu ambae jina lake halikufahamika mara moja alitoa burudani katika Mkutano wa Mchungaji Obadia hapo akicheza na kuimba.

Lakini kama wasemavyo ''Kwenye wengi kuna mengi '' Mkutano huo ulipata burudani nyingine kama uonavyo hapo hao ni vijana walionekana wamelewa ambao nao waliamua kutoa burudani kwa kucheza kiasi cha wao kuamua kuweka bishara zao chini kama inavyonekana hizo ni suruali zimewekwa chini ili wacheze kwa nafasi.
Wakaona waweke begani nguo zao hizo ambazo walikuwa wakiuza kwa wateja hapo Karume ila wimbo huo ukawavuta na kuamua kucheza kwa madaha kabisa.

Kijana huyu ambae ni mfanyabiashara ndogondogo alikuwa yupo chakari na kilevi hapo staili yake ni kucheza kareti kiasi kilichoamsha chereko kwa mkutano huo ambao watu walijazana ili kusubiria miujiza ya Mchungaji Obadia kugeuza maji rangi na mkanda miujiza ambayo ligeuka kuwa hadithi mwishowe ila Neno la Mungu walipata na Burudani pia Ilipatikana ya kutosha kama uonavyo Pichani.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top