Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph Warioba akisisitiza jambo katika mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanziba
Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya Katiba wakiwa katika Mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari Kutoka Idara ya Habari Maelezo akiuliza maswali katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
Picha na Habari zaidi Kingkif
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Wednesday, June 20, 2012
Post a Comment