
David Johnson na Alex Meers ni marafiki wa Spencer West wakiwa wote kulekea kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Spencer West (31) toka Toronto, Canada ambae alipoteza miguu yake miwili wakati akiwa na miaka 5 tu ameweza kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro jumatatu ya wiki hii kama anavyoonekana akishangilia baada ya kufika Uhuru peak.
Picha na Habari zaidi Bofya Dailymail.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Wednesday, June 20, 2012
Post a Comment