
Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo katika hotuba yake Bungeni amesema kwamba kuanzia Mwaka ujao wa Fedha Wataanza kuwalipa Madiwani Posho mpya iliyoboreshwa.
Hatua hiyo iliamsha shangwe miongoni mwa wabunge kwa kushangilia hatua hiyo ya Serikali ya kuboresha posho mpya ya Madiwani.
Post a Comment