
Tulijaribu kumnasa jamaa huyu aliekuwa amesimama kwa nyuma kwenye gari hili dogo la mizigo likitokea Ilala Sokoni likiwa limesheni viroba vya mboga mboga na matunda hapa ni eneo la Magomeni alipoanza kufungua baadhi ya mizigo hapo ili aingie chaka bahati nzuri aliwahi kimbia ndipo wenye gari wakasimama baada ya kuelezwa na dereva na abiria tuliopanda daladala hiyo Usalama wake hakuujali mwaizi huyu !!
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Monday, July 9, 2012
Post a Comment