
Alex Song akiwa kajilaza ndani ya kitanda ajipumzisha katika safari hiyo ndefu wakati wakiwa wanaelekea Malaysia


Alex Oxlade-Chamberlain na Carl Jenkinson wakifurahi pamoja huku wakiwa hewani ndani ya Pipa.

Theo Walcott na Vito Mannone wakipata kipande cha keki huku wakiwa ndani ya ndege wakielekea Malaysia kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa EPL 2012/2013 huku wakiwa bila Kapteni wao Van Persie
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Michezo
on Sunday, July 22, 2012
Post a Comment