Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

DALADALA TIME:Hivi ndivyo DCM nyingi zilivyo ndani


Dereva anasema yuko jikoni kutokana na joto lililoko hapo mbele kutokana na injini

Twende kazi .....gia hiyo inaingia wazoefu mnaweza sema namba ngapi hiyo..!!
Hapo jee...ni ngapi hiyoo..!!! Unaweza sema ni debe limepondwapondwa joto lililopo hapo unaweza pasha moto maziwa ya mtoto
Kila kitu humo kimenyofolewa hakuna kitu uzoefu tu ndio unatupelekea kuwa injini imeshindwa kazi au ina joto sana inatakiwa ipoe
Unaweza sema nyumba ya sungura kwa wale wafugaji teh teh teh teh lakini kitu kiko barabarani hapo mwendo mdundo..!!

Ukifuatilia daladala nyingi aina ya TOYOTA DCM utagundua kuwa nyingi zimechoka mno kiasi kwamba hata vile viashiria muhimu kwa dereva havipo hivyo wanaendesha kwa mazoea tu bora liende.Ni daladala ya Tabata Segerea-Kivukoni.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top