Fabio Borini Akituma ''text mesage'' kuwa tayari nishamwaga wino kukipigia Bwawa la Maini Liverpool Fc akiwa ni mchezaji wa Kwanza kutua hapo toka Kocha Brendan Rodgers alipochukua mikoba ya kuinoa timu hiyo.Fabio mwenye miaka 21 aliwahi kufundishwa na Rodgers akiwa na timu ya vijana ya Chelsea na baadae kuungana nae tena Swansea msimu wa 2010/2011 alipoweza kufunga magoli sita kati ya mechi tisa alizochezea timu hiyo walipomchukua kwa mkopo.Hii ni mara ya tatu wa kukutana.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment