
Kuharibika kw Reli ya moshi Arusha maeneo ya Rundugai

Hii ni sehemu tu ya Reli ya Moshi-Arusha ambayo serikali imeamua kuifufua tena ili kuweza kusafirisha abiria na mizigo.Reli hii ambayo ni mojawapo ya zilizotelekezwa ukianza na Reli ya Tanga-Moshi hadi Arusha, sio reli tena bali ni msitu Wizara ya Uchukuzi ina jukumu kubwa kuifufua tena....nawasilisha !!
Picha na Habari na
Mdau Naimann Kavumo toka kilimanjaro.
Post a Comment