
Inajieleza sawia picha hiyoo...kuelekea Mbagala ukishavuka daraja ambalo juu inapita Reli.

Maji yakiwa yametuama darajani usalama wake ndio unatia shaka....mazalia ya mbu nayo.!!

Daraja linalotenganisha kati ya Mbagala na Mtongani

Muda wa kurudi majumbani nao huwa mbinde wakati mwingine wananfunzi wakijitahidi kupanda daladala baada ya kutoka shule mida ya mchana Tandika Sokoni jana kuelekea Tabata.

Biashara ya machungwa imeshika kasi jijini Dar es Salaam.Hivi kuna msimu wa machungwa dar ? ....
Picha na Habari YOEL MSHANA
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Wednesday, July 18, 2012
Post a Comment