Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Jinsi Wabunge Wa Kambi ya Upinzani Walivyotoka Nje ya Ukumbi wa Bunge Baada ya Naibu Spika Job Ndugai Kupinga Hoja ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh Tundu Lissu(MB)iliyotaka Kuahirishwa Shughuli za Bunge ili Kujadili Tukio la Ajali ya Kuzama Kwa Meli iliyotokea Kisiwa Cha Chumbe Karibu na Bandari ya Zanzibar {VIDEO} Baadhi ya wabunge wa kambi ya upinzani wametoka nje ya ukumbi wa bunge baada ya naibu spika kupinga hoja ya mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni iliyotaka kuahirisha shughuli za bunge ili kujadili tukio la ajali ya meli iliyotokea katika kisiwa cha Chumbe karibu na bandari ya Zanzibar.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top