Ikiwa tayari eneo la Maisara limeshafungwa bado shughuli za uokoaji zinaendelea baharini na kuna boti nne tayari zimekwenda katika eneo linalodhaniwa kuna miili ya watu huko na wazamiaji wanategemewa kurudi hivyo wanasubiri iwapo watakuwa wamepata miili zaidi
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment