Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

KIMENUKA CCM WILAYA YA MISUNGWI: NI JUU YA WIZI WA ZAIDI YA SH. BILIONI 4 ZA RIPOTI YA CAG


Akiamplyfy Exclusive jioni ya leo kwenye majira
ya saa 12 hivi.. Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa huo Saimon Mangelepaa
amesema kuwa kufatia ripoti ya Mkaguzi Mkuu na Mudhibiti wa Hesabu za serikali
nchini CAG iliyotolewa Bungeni ya mwaka 2009/2012 ambapo baadhi ya watumishi wa
Halmashauri hiyo walituhumiwa kuhusika na wizi wa zaidi ya shilingi bilioni
4.Chama cha Mapinduzi mkoa wa
Mwanza kimekaa na kufatilia kwa umakini na kubaini baadhi ya viongozi wake
kuhusika kwa ukaribu katika ubadhilifu huo akiwemo Mwenyekiti wa Halmashauri
hiyo Benard Polykap ambaye naye anatuhumiwa kuhusika katika Wizi wa fedha za
umma zilizotolewa na serikali kuu kwa ajili ya maendeleo katika wilaya
hiyoKatibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa huo Saimon MangelepaaKatibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa huo Saimon MangelepaaKatibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa huo Saimon Mangelepaa

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Clement Mabina
(kushoto) akiwa na Katibu wa CCM mkoa Bi. Joyce Masunga wakati wa kikao cha
kamati ya siasa kilichotoa tamko juu ya baadhi ya viongozi wake wilaya ya
Misungwi wanao husika kwenye sakata la Ubadhilifu wa fedha uliolipotiwa na
CAG.na
CAG.Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Clement Mabina (kushoto) akiwa na Katibu wa CCM mkoa Bi. Joyce Masunga wakati wa kikao cha kamati ya siasa kilichotoa tamko juu ya baadhi ya viongozi wake wilaya ya Misungwi wanao husika kwenye sakata la Ubadhilifu wa fedha uliolipotiwa Halmashauri ya Misungwi ni moja ya Halmashauri ambazo zimetajwa katika taarifa
ya CAG kuhusika na upotevu wa fedha za Umma zaidi ya bilioni 4 ambapo pia
mkurugenzi wake na baadhi ya watumishi wa Idara wamesimamishwa na uchunguzi
ungali ukiendelea kabla ya kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zao.

Hivi karibuni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini
Tanzania, Ludovick Utouh aliwaonya mawaziri wapya na watendaji serikalini kwamba
ripoti zake hivi sasa zina nguvu za kusimamia uwajibikaji hivyo, wanapaswa
kusimamia vyema wizara zao kuzuia ubadhirifu wa fedha za umma.
Source:G Sengo
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top