
Vijana wa Elimu ya juu wakifuatilia kwa makini maoni ya mada mbali mbali kwenye Kongamano la Katiba.

Dk.Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi wakifungua Kongamano la Katiba leo Karimjee Hall.

Viongozi mbali mbali wa vyuo vya elimu ya juu wakifuatilia kwa hoja mbali mbali.
Umoja wa Wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania (TAHLISO) leo limeratibu kongamano la Katiba katika ukumbi wa Karimjee,na kuhudhuliwa na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali, Mgeni wa heshima katika kongamano hilo ni DK. Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi.
Picha na CCM Blog
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Siasa
on Monday, July 2, 2012
Post a Comment