
Huyoni Mario Balotelli ambae alivua jezi yake siku alipofunga goli la pili dhidi ya Ujerumani katika mchezo wa Nusu Fainali ya EURO 2012 bado amekuwa ni kipenzi cha watu kutokana na kitendo chake hicho cha kutunisha misuli kila mmoja akitoa tafsiri yake kama unavyoona akionekana kana kwamba anashikiliwa na maafisa wa ulinzi kumbe ndivyo sivyo.Huyo ndie Mario Balotelli.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Michezo
on Monday, July 2, 2012
Post a Comment