Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

KUTOKA BUNGENI:Naibu Spika akataa Hoja ya Tundu Lissu kujadiliwa kwa ajali ya Boti Zanzibar


Naibu Spika Ndungai kakataa hoja ya Mh.Tundu Lissu kujadiliwa kwa ajali ya Boti huko Zanzibar isijadiliwe Bungeni .

Hiyo ni baada ya Mh.Lissu kuomba hoja hiyo ijadiliwe hali iliyozusha malumbano kati ya Mwanasheria mkuu wa serikali na Mh.Lissu baada ya AG.Werema kusema kuwa na nywele kichwani si uwezo wa kufikiri Hatua iliyomfanya Mh.Tundu Lissu kuchachamaa akimtaka mwanasheria mkuu afute kauli hatua ambayo Naibu Spika hakusema lolote
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top