Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

KUTOKA CHINA:Mboga Ikiwa sokoni


Ukiwa Uchina mboga ni suala lingine kabisa wanakula kila aina ya wadudu ambao huku kwetu ukisema tu wala hao unaweza suswa mtaa mzima asije mtu kwako kisa wapika konokono. Sio Uchina wao hiyo ni mboga tena saafi kama inavyoonekana ikiwa sokoni tena kweupe kila mtu anachagua na kupimiwa bila kificho.Wakiwa wamewekwa vizuri wanakusubiria mteja uje



Hapa ni mboga aina mbalimbali China. Kwa wale wasioamini ndo hivi jamaa wanakula kila kitu. Hawa ni konokono wale wenye shells pamoja na wadudu wa majini. Unaweza kushangaa ila ndo hivo na ukiwaambia wewe huli hawakuelewi inakuwaje usile mboga tamu namna hii.Na hapo wanauzwa kwa kilo. kilo moja yaweza kuwa around Yuan 10 ambayo ni sawa na kama 2600 ya Tanzania.
...........................................
Picha na Mdau wa Blog aliye huko China
Karibu China.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top