
Tanzania inabidi tubadili jinsi ya kufanya biashara. Kama unavyoona kwenye picha ni wafanyakazi wa hoteli wako nje ya hotel yao ili kuvutia wateja. Hii huwa inafanyika mara kwa mara na wanakuwa wamevaa sare za kazi na wanakuwa na acting za aina kadhaa ili kuvutia wateja. at the end of the day hoteli inakuwa imejaa. Unayemuona kwenye picha hapo mlangoni(alieshika kiuno shati jeupe) ni mmoja wa mameneja wa hoteli wakati bongo huwezi kukuta meneja anajichanganya na wafanyakazi wengine

Hapa China unamkuta Mwenye hoteli yuko karibu na wafanyakazi hivo inaongeza motisha. Meneja au hata mwenye hoteli unawezakuta anafanya kazi kama kawaida na kuwa karibu na wafanyakazi wake.
Sasa mambo ya bongo kuwa kibaya hujitembeza na kizuri chajiuza hapa hamnahuo usemi na hata hivyo ni dhana ya zamani isiyofanya kazi kwa sasa. Kwa China ukienda kwa hoteli unapokelewa toka nje tofauti na bongo. Wana kasoro zao ila kwa biashara wako makini sana kwenye biashara.
Na Zeph !!
Mdau wa Blog,China.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Biashara
on Monday, July 23, 2012
1 comments:
mkuu,naona wadau wa rundugai wanazidi kuongezeka.
ReplyAmani.
Post a Comment