
Mamlaka ya hali ya hewa yatoa tahadhari kwa wanotumia vyombo vya usafiri majini kutoka na upepo mkali unaovuma na mawimbi makubwa.
...............................................................
KUPITIA UKURASA WA FACEBOOK Salma Said ameandika hivi.....
Kuna meli inaitwa Mv Karama inasemekana imo majini na inazama eneo la Chumbe tuombe Mola atunususie watu wetu yarabbi .
..................................................................
WAKATI HUO HUO Huko Twitter nako kuna taarifaaa kuhusiana na Kuzama kwa meli.......
Breaking News: Meli ya abiria ya Zama kitokea Dar kwenda Znz bado taarifa rasmi za kiwango cha maafa hazijapatikana!KUPITIA UKURASA WA FACEBOOK Salma Said ameandika hivi.....
Kuna meli inaitwa Mv Karama inasemekana imo majini na inazama eneo la Chumbe tuombe Mola atunususie watu wetu yarabbi .
..................................................................
WAKATI HUO HUO Huko Twitter nako kuna taarifaaa kuhusiana na Kuzama kwa meli.......
Ni meli ya Seagull iliyozama inatajwa kuwa na abiria wapatao 200, imezama karibu na eneo la Chumbe
Habari zaidi kuhusiana na kadhia hii TUTAWALETEA HAPA KUJUA KINACHOENDELEA.
UP TODATE:
East Africa TV on Twitter..
BREAKING NEWS: Taarifa zilizotufikia hivi punde, meli ya kampuni ya MV Seagul iliyobeba abiria 200 imezama ikitokea Dar kwenda Zanzibar. Meli hii imezama katika Kisiwa cha Chumbe.
HABARI ZA HIVI PUNDE:
Faroukh Karim: Upepo ni mkali eneo la tukio, ni vyombo vichache vya uokozi vilivyofika, haujaonekana mwili wa mtu aliekufa
Faroukh Karim:anasema zoezi la uokoaji linaendelea pamoja na kuwa kuna mawimbi makali na Meli ya Mv Kilimanjaro ipo eneo la tukio
TAARIFA TBC 1 Saa kumi kamili.
Jeshi la Polisi limedhibitisha kutokea kwa ajali ya Meli Seagul iliyokuwa inatokea Dar es Salaam kuelekea Zanzibar ikiwa na Abiria 250 na watoto 31.
Msemaji huyo wa Polisi anasema wanafuatilia eneo sahihi la tukio hilo kwa Helikopta.
1 comments:
MV seagal or Karama,? its confusing now!!
ReplyPost a Comment