Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mazito Yaibuka.....

Stori: Sifael Paul
Tukio la kutekwa na ‘kusulubiwa’ kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka hivi karibuni, limeibua mambo mazito, Risasi Jumamosi limedaka ishu nyeti.KUNA KUNDI LA MAFIA? Habari zinazozungumzwa mitaani juu ya tukio hilo ni nyingi lakini mpya ni madai kuwa kuna kundi la watu limeundwa linalojishughulisha na ‘umafia’ wa watu tishio wenye ushawishi katika jamii wanaohamasisha migomo na kukosoa serikali waziwazi. Imeenea kuwa kundi hilo halina uhusiano na serikali wala chama chochote cha kisiasa nchini kama baadhi ya watu wanavyodai na tayari Rais Jakaya Mrisho Kikwete alishakanusha utawala wake kuhusika na jambo hilo baya. “Ukweli ni kwamba kuna kundi ambalo kazi yake ni kufanikisha matukio kama hili la Dk.…
Soma Zaidi:http://http://www.globalpublishers.info/
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top