
Mdau wa Rundugai Blog Bwana Ernesto Msemo (tshirt ya Man U) akinunua viatu vya asili ya kimasai sokoni Rundugai.Huku akiwa amezongwa na baadhi wa wanunuzi wengine ambao walikuwa wakinunua vitu mbalimbali hapo Sokoni.Huyo ni mmojawapo wa wadau wakubwa wa Blog.
Picha na Mdau wa Rundugai Blog
Post a Comment