Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria kikao cha Ulinzi na Usalama cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia. Kulia ni Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini China Bwana Quan Zhezhu wakati walipokutana jijini Addis Ababa Ethiopia.
Rais Dkr.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na ujumbe wa wafanyabiashara wakubwa kutoka China .
Picha na Freddy Maro wa Ikulu
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Sunday, July 15, 2012
Post a Comment