Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI KUTOKA ADDIS ABABA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika.

PICHA NA IKULU
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top