Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jamhuri yaMuungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi VuaiNahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana naajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea juziikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.[Picha na RamadhanOthman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wabunge wa Bunge la Jamhuri yaMuungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi VuaiNahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana naajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea juziikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.[Picha na RamadhanOthman,Ikulu.]
Post a Comment