Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

RIO FERDINAND AUKOLEZA MOTO UBAGUZI WA RANGI


Baada ya Mahakama kumsafisha John Terry na tuhuma zilizokuwa zinamkabili za ubaguzi wa rangi dhidi ya mchezaji wa QPR Rangers beki Anton Ferdinand ambae ni mdogo wa Rio .
Hatua hiyo ilishutumiwa vikali na baadhi ya wachezaji weusi kuwa si haki na hatua hiyo imeingia hatua nyingine pale Rio Ferdinand kwenye ukurasa wake wa Twitter alipofurahia pale mtu mmoja ambae alituma ujumbe wa kumuita''choc ice'' Ashley Cole mchezaji aliemtetea Terry mahakamani kuwa si mbaguzi.
''choc ice'' wakiwa na maana ni mweusi nje ndani mweupe ikionekana kumshutumu Ashley Cole.
Hatua hiyo imeelezewa ni inazidisha mjadala huo wa ubaguzi wa rangi miongoni mwa wachezaji hao.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top