Mh. Charles Tizeba , akiwahakikishia wananchi wa Wilaya ya Sumbawanga mjini kuwa kiwanja cha ndege kitajengwa kama ilivyopangwa.
Mh.Ole Nangolo ,Naibu Wizara ya Mifugo akihutubia wananchi wa Mkoa wa Rukwa mipango madhubuti ambayo serikali inaifanyia kazi juu wa masuala yanayohusu mifugo
Wananchi wa Mkoa wa Rukwa wakiuliza maswali kwa viongozi wao na walipatiwa majibu hapo kwa papo.
Mh.Aggrey Mwanri akiiwasili kwenye viwanja vya Msakala,mkoani Rukwa ,Wilaya ya Sumbawanga Mjini
Katibu wa Halmashauri kuuu ya Taifa akihutubia kwenye mkutano wa hadhara mkoani Rukwa
Mh.Adam Malima akizungumza na Wananchi wa Sumbawanga mjini masula mbali mbali yanayohusu kilimo na nchakula pamoja na kutatuliwa kwa tatizo la umeme
Waziri wa maji, Prof.Jumanne Maghembe akihutubiwa wananchi wa mkoa wa Rukwa ambapo aliwapasha kuwa suala la matatizo ya maji litakuwa limekwisha karibuni
Mh. Mwigulu Nchemba akihutubia wananchi wa wilaya ya Sumbawanga mjini
Mzee Crisant Mzindakaya akiwasalimu wananchi wa Wilaya ya Sumbawanga mjini.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Siasa
on Sunday, July 15, 2012
Post a Comment