Sina Mali shop (kushoto) na inayooneka ni Mkombozi mgahawa maarufu na pilika mbalimbali za wafanyabishara wajao kwenye soko kila JumatatuUtajiuliza inakuwaje tena iwe SINA MALI SHOP ? Sina Mali jina la mwenye duka hilo likiwa kama majina mengine.
Picha na Mdau Naimman Kavumo .

Post a Comment