Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa nchi kavu na majini(SUMATRA) IMESEMAmeli iliyozama leo katika kisiwa cha Chumbe Zanzibar ilikuwa na abiria 248 na watoto 31.
Meli hiyo iliondoka dar leo saa sita mchana ikiwa na mabaharia tisa.
meli hiyo inaruhusiwa kubeba abiria 300 na tani 26 za mizigo.
meli hiyo Mv Skagit inamilikiwa na Seagull Transport.
Habari kamili bofya hapa
Sumatra- Meli ilikuwa na abiria 248
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment